WANAMUZIKI NA VIONGOZI WOTE WA EXTRA BONGO TUNAPENDA KUTOA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA FAMILIA NA WATANZANIA KWA JUMLA KWA KIFO CHA MSANII MWENZETU SHARO MILIONEA,MBELE YETU NASI NYUMA YAKE TUTAFUATA-Mungu ailaze roho ya maheremu SHARO MILIONEA mahali pema peponi AMIN
SHAROBARO-SHARO MILIONEA
MAREHEMU SHAROBARO WAKATI WA UHAI WAKE AKIWA NA MFALME WA VICHEKESHO TANZANIA MZEE MAJUTO