
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bingo, Ally Chocky akiimba jukwaani wakati wa Mmkesha wa Mwaka mpya 2010 -2011 katika Ukumbi wa Vatican Sinza jijini Dar es Salaam ambapo bendi hiyo ilitumbuiza na Bendi ya Mapacha watatu.

Ally Choki akiimba sambamba na muimbaji wa Mapacha watatu, Harid Chokoraha

Mapacha watatu,kutoka kushoto ni Harid Chokoraha,Jose Mara na Kalala Junia

Wacheza shoo wakicheza

Ally choki akicheza sambamba na waimbaji wake

Mashabiki na wapenzi wajkicheza

Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza


Msanii wa maigizo na muimbaji Mamaa Dotnata na Mumewe wakifuatilia burudani

Ally Chocky akicheza sambamba na wacheza shoo wake


Mashabiki wakijivinjari

Chocky na Chokoraha jukwaani

Chocky,Chokoraha na mashabiki

Chocky na Chokoraha wakiimba pamoja

Mashabiki wakicheza

Banza Stone akiimba wakati wa mkesha huo

Banza na Chocky ndani ya stage

Banza na Chocky wakiimba kwa pamoja

Banza akikumbushia enzi zake

Wakiimba

Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza

Wacheza shoo na waimbaji wa Extra Bongo wakicheza


Jose Mara akiimba

Jose

Jose Mara

Mashabiki

Kalaa Junia akiimba

Mapacha watatu ndani ya Stage

Mapacha Watatu wakiimba sambamba na mpiga kitaa wao
0 maoni:
Post a Comment