
Mwanamuziki Banza Stone akiimba nyimbo yake ya Falsafa mara baada ya utambulisho wake katika Bendi ya Extra Bongo ndani ya Mzalendo Pub.

Akitambulishwa rasmi na Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky

Banza Stone akijitambulisha kwa wapenzi na Mashabiki wa Bendi ya Extra Bongo Next Level

Akiimba na wanamuziki wengine

Akiimba

Wakiimba

Bob Kisa akiimba

Wakiimba

Wacheza shoo wakicheza

Wakicheza wakiongozwa na Mwimbaji, Rama Topigo

Mwimbaji Rama akipiga tumba

Mpiga Bess, Hoseah Mgoachi akipiga gitaa lake

Mwimbaji,Athanas Motanabe akiimba wakiti wa utambulisho huo

Wacheza shoo wakifanya vitu vyao

Hapo sasa.....

Mapacha wa Mama mmoja Baba mbalimbali,Ally Chocky na John Njunde kulia mdau wa Extra Bongo

Athanas

Mashabiki wakicheza

Mashabiki wakishindana kucheza

Wakicheza mashabiki...twende sasa....
0 maoni:
Post a Comment