Wanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo wakiwa mazoezini wakiweka mambo sawa ya kuhakikisha wanawapa wapenzi wao kile kiachotakiwa,kutoka kushoto ni Bob Kisa, Kaba Tano,Redo na Athanas Motanabe wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wao wa nyumbani Meeda Sinza Jijini Dar es Salaam
Wakifanya mazoezi
Wakifanya mazoezi
0 maoni:
Post a Comment