KWA NIABA YA UONGOZI WA EXTRA BONGO NA WANAMUZIKI KWA JUMLA TUNAPENDA KUKUPA HONGERA MFANYAKAZI MWENZETU KWA KUUAGA UKAPERA
Mmoja wa WAFANYAKAZI wa EXTRA BONGO IBRAHIM aka CANTONA akiwa na mkewe Bi SUBIRA katika sherehe ya HARUSI YAO iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa MANGO GARDEN KINONDONI.
0 maoni:
Post a Comment