Wacheza shoo wa
Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho lao la kila jumamosi katika
Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam mwoshoni mwa wiki
Mpiga Bess,Hoseah
Mgoachi akilisakata Gitaa sambamba na shabiki
Mkurugrnzi wa Bendi
ya Extra Bongo akicheza sambamba na wacheza shoo wake
Kiongozi wa wacheza
shoo akifanya manjonjo yake wakati wa shoo hiyo
Wacheza shoo wa
Bendi ya Extra Bongo wakiwa katika pozi
Wakicheza
Rapa Mkuu wa Bendi
ya Extra Bongo,Frank Kaba5 akifanya mambo yake
Pozi
0 maoni:
Post a Comment