Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza
wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden
jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo, Amina
Mnoga(katikati) akiimba sambamba na wacheza shoo wakati wa onyesho la Bonanza la
kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni
mwa wiki.
Muimbaji wa
Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akiimba sambamba na mashabiki wakati wa
onyesho la Bonanza la kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar
es Saalaam mwishoni mwa wiki.
Mcheza shoo wa
Bendi ya Extra Bongo, Janneth Tingisha akicheza wakati wa onyesho la Bonanza la
kila jmapili katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni
mwa wiki.
Wacheza shoo
wakicheza
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally chocky
akiimba sambamba na mashabiki wakati wa onyesho la Bonanza la kila jmapili
katika Viwanja vya Magomeni Garden jijini Dar es Saalaam mwishoni mwa
wiki.
Wacheza shoo
0 maoni:
Post a Comment