Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo akionyesha umahili wake wa kucheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Ukumbi wa Meeda jijini Dar es Saalaam
Wacheza shoo wakicheza
Wadada wakicheza
Shooooooo time
Shooo time acha kabisa.......
Aha......
Wakicheza
Hapooooooo!
Aaaaaa Mkurugenziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii........
Kamata hiyo Mkuu..........................
Mwanadada mcheza ngoma za Asili kupiga shooo na Extra Bongo wiki ijayo Jumamosi katika Ukumbo wa Meeda jijini Dar es Salam
On 0 comments
Jopo la wacheza shoo wa Victoria Sound chini ya Uongozi wa mcheza shoo marugu na nguli,Omary Mussa(Bokiro) wakiwa kwenye pozi wakati wa onyesho la Bendi hiyo Magomeni Breeze jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Bendi ya Victora Sound,Mwinjuma Muumini akiimba wakati wa onyesho hilo
Waimbaji wa Bendi ya Victoria Sound wakiimba kulia ni Waziri Sonyo
Wakiimba
Waimbaji wa Bendi hiyo wakicheza
Waakicheza sambamba na Mkurugenzi wa Bendi hiyo, Mwinjuma Muumini
Wacheza shoo wakicheza
Wakionyesha shoo maalum
Shoooo time
Wakicheza shoo
Shooooo time
Kiongozi wa wacheza shoo, Bokiro akionyesha shoo
0 maoni:
Post a Comment