Mfanyabiashara
wa Nyama ,ambaye hakutambulika jina lake akikata nyama tayari kwa kwenda
kuchoma katika Gulio ambalo hufanyika kila mwisho wa mwezi Dodoma nje kidogo ya mji.
Wakazi wa Dodoma wakichagua Nyama/Mapande tayari kwa kwenda kuchomewa,
hiyo imekuwa ni kawaida kwao hasa mwishoni mwa juma na hata mwishoni mwa
mwezi kama walivyonaswa na Camera yetu hivi karibuni.
Baadhi ya wakazi wa Dodoma vijijini wakichagua katambuga zinazotokana na Matairi ya Gari
Mwana Mama mjasiliamali, akiuza Chumvi katika Gulio hilo pembeni kidogo ya Mjini Dodoma
HABARI KATIKA PICHA-MAMBO YA MALAWI.
Add caption |
Mfanyabiashara
wa Dagaa, ambaye hakutaka kutaja jina lake akikausha Dagaa wake kwa njia ya jua
tayari kwa kwenda kuuza kwa watumiaji pembezoni mwa Ziwa Nyasa Malawi.
Akikausha Dagaa kwa njia ya Jua katika ufukwe wa Ziwa Nyasa Malawi
Hakuna kazi ya Mwanaume wala Mwanamke ,kazi ni kazi .
Wakina mama wakitoka Shamba mara baada ya kazi wakiwa na usafir asili wa Ng'ombe Malawi
SAMSUNG YAKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA PROMOSHENI YA KWANZA YA "PAMBIKA NA SAMSUNG".
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kushoto) akimkabidhi Fridge ya
Samsung mshindi, Betrice Mushi wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi TV Nchi 32 ya
Samsung mshindi, Doroth Madeleka wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Laptop ya
Samsung mshindi, Chrismas Gowele wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Galaxy Tab ya
Samsung mshindi, Abbas Moledina wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Microwave ya
Samsung mshindi, Ally Abdalah wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Meneja wa Samsung Tanzania, Kishor Kumar(kulia) akimkabidhi Home Theatre ya
Samsung mshindi, Hamis Kondo wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
wa Promosheni ya Pambika na Sumsung.Makabidhiano hayo yalifanyika jijini
Dar es Saalaam .
Picha ya pamoja ya washindi pamoja na Uongozi wa Samsung
0 maoni:
Post a Comment