Baadhi ya wafanyakazi wakijaribu kutoa msaada kwenye kichwa cha Treni mara baada ya kuanguka
Wafanyakazi wa wakishugulika kutoa msaada
KASEBA NA MASHALI WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMAMOSI MARCH 29 PTA SABASABA
Bondia Japhert Kaseba akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na Thomasi mashali kushoto mpambano utakaofanyika PTA Sabasaba siku ya jumamosi march 29 picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
0 maoni:
Post a Comment