Meneja
Masoko msaidizi wa Unilever Tanzania Limited, Brenda Wakiagi(kushoto)
akimkabidhi mshindi wa kwanza wa promosheni ya 'Fua Upae kwenda Dubai' Sarapia
Aloyce mfano wa tiketi ya kwenda Dubai mara baada ya kuibuka mshindi katika
droo iliyochezeshwa mwishoni mwa wiki kwa wakazi wa jijini la Arusha wanaotumia
sabuni ya Omo.Hafla fupi ya makabhiano ilifanyika Kibo Hotel jana.Katikati ni
Balozi wa Omo Tanzania, Mariam Migomba.
Meneja wa
Unilever Tanzania wa eneo la Moshi na Arusha, Elieza Mhiro(kushoto) akimkabidhi
mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae', Doreen Mbishi hundi fedha taslimu
sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. Katikati ni Balozi wa Omo Tanzania,
Mariamu Migomba.Hafla fupi ya makabidhiano ilifanyika Kibo Hoteli jijini Arusha
jana.
Meneja wa
Unilever Tanzania wa eneo la Moshi na Arusha, Elieza Mhiro(kushoto) akimkabidhi
mshindi wa promosheni ya 'Fua Upae', Doreen Mbishi aliyejishindia fedha taslimu
sh. 600,000 baada ya kununua sabuni ya Omo. Katikati ni Balozi wa Omo Tanzania,
Mariamu Migomba.Hafla fupi ya makabidhiano ilifanyika Kibo Hoteli jijini Arusha
jana.
0 maoni:
Post a Comment