Na Michael Machellah
MCHEZA shoo mkongwa na maarufu wa Twanga Pepeta, Aisha Madinda leo amejiunga rasmi na Bendi ya Extra Bongo.
Akimtambulisha kwa waandishi wa habari,Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Chocky anafura sana kumpata mcheza shoo ambaye anamini ataleta mabadiliko ndani ya Extra Bongo kulingana na uwezo wake jinsi anavyomfahamu.
Akizungumza na waandishi wa habari,Aisha Madinda amesema ameamua kuungana na wacheza shoo ambao anaamini akiwa nao katika safu atafanya vizuri na kipaji chake kitazidi kupanda mbele zaidi.
Aisha tayari ameshaanza mazoezi na atatambulishwa rasmi kwa mashabiki jumatno kwenye Klabu ya masai Ilala jijini Dar es Salaam
Kiongozi wa wacheza Shoo, Super Nyamwela alimkaribisha Aisha kwa mikono miwili na kusema sasa kazci imekamilika na kuwataka wapenzi na mashabiki wajitokeze kwa mara ya kwanza wanapomtambulisha Aisha pale masai Ilala ndipo moto mkali wa Exra Bongo utaanza kuwaka

0 maoni:
Post a Comment