Na Michael Machellah
BENDI ya muziki wa Dansi ya Extra Bongo Next Level leo imeingia rasmi msituni kushuti nyimbo ya Falisafa ya maisha utunzi wake Banza Stone.
Akizungumza na Mtandao huu Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Chocky amesema huo ni mwanzo tu kwani wana programu ya kushoti Albamu nzima ambazo watazindua hivi karibuni.
Bendi ya Extra Bongo kwa sasa inaendelea kutoa burudani kwa wapenzi na mashabiki kila jumamosi katika Ukumbi wa Meeda kwa kipindi chote cha mfungo wa Ramadhani na baada ya mfungo watarudi katika utaratibu wao wa kawaida.
0 maoni:
Post a Comment