
Mpiga Drum wa Bendi ya Extra Bongo, Martin Kibosho (kulia) na Mdogo wake Mpiga Drum wa Bendi ya Twanga Pepeta,Jemes Kibosho wakiweka msalaba kwenye Kaburi la Marehemu Dada yao,Beatrice Kibosho aliyezikwa leo kwenye Makaburi ya Mburahati Jijini Dar es Salaam

Ndugu jamaa na marafiki wakiwa kwenye msiba nyumbani kwao na marehemu,Beatrice Kibosho ,Mabibo jijini Dar es Salaam

Martin Kibosho mpiga drum wa Bendi ya Extra Bongo akiwa na sura ya majonzi baada ya kuona umati wa watu nyumbani kwao akirejea kutoka Mochwari kuchukua mwili wa Marehemu Dada yake, Beatrice Kibosho leo

Wazee wakizungumza jambo na Kijana Martin Kibosho

Wanamuziki wa Extra Bongo wakiwa na mfiwa,Jemes Kibosho

Mkurugenzi wa Extra Bongo,Ally Chocky akidoea chips (katikati) Dogo Rama wa Twanga Pepeta na Amina Mnoga wa Twanga wakila chips wakati wa maziko

Chips tamuuuuuuuuuuuuuuuuu

Super Danger wa Extra Bongo akisalimiana na wanamuziki wa Twanga

Wanamuziki wa Extra Bongo na Twanga wakichati

Ndugu jamaa na marafiki wakiaga mwili wa marehemu

Aliyekuwa mpiga Drum wa Exta Bongo akiaga mwili wa marehemu Beatrice Kibosho

Mpiga Rythim wa Extra Bongo akiaga mwili wa Marehemu BEATRICE KIBOSHO

Kwaheri BEATRICE

Mtoto wa kwanza wa marehemu akiaga mwili wa Mama yake

Kwaheri Mdogo wangu

Watoto wa Marehemu wakimuaga Mama yao

Mama wa Marehemu akimuaga mtoto wake

Mwili wa marehemu BEATRICI KIBOSHO ukipelekwa makaburini

Kwaheri Beatrice Kibosho

Wakiweka udongo

Mazishi yakifanyika

Kwaheri Dada yetu kipenzi Bite

Sister kwaheri,nilikupenda sana ila Mwenyezi Mungu kakupenda zaidi

Watoto wa Marehemu wakiweka shada la Maua

Kaka wa marehemu wakiweka shada la maua
0 maoni:
Post a Comment