
Bendi ya Muziki wa Dansi imemtambulisha rasmi mcheza shoo mpya, Janeth Tingisha aliyekuwa Diamond Musica kwenye Ukumbi wa Mzalendo jijini Dar

Wapenzi na mashabiki wakicheza wakati wa utambulisho huo

Mpiga Bass, Hoseah Mgoati akipiga gitaa lake sambamba na mashabiki

Rapa wa Extra Bongo, Saullo Fagasoni akiimba sambamba na mashabiki
0 maoni:
Post a Comment