
Akizungumza na mtandao huu,kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela amewataka wapenzi na mashabiki kuwa leo wasikose kwani amepanga mambo mazuri ambayo hawajawahi kuyaona,shoo kali ambazo haziigiki.
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky amesema shoo ya leo itakuwa ya aina yake na baada ya shoo ya leo watahamia Manzese Tiptop kwa onyesho maalum ambalo pia wapenzi na mashabiki mnaaswa msikose
0 maoni:
Post a Comment