Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Sunday, July 22, 2012

EXTRA BONGO WAANZA MAKAMUZI ULAYA,WAWAACHA WAZUNGU MIDOMO WAZI

 

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba katika moja ya shoo walizoanza kuzifanya Finland wakati wa Tamasha la First Afrika
Chocky akicheza sambamba na wanamuziki wake
Kiongozi wa wacheza shoo, Super Nyamwela akicheza sambamba na wacheza shoo wenzake Finland
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa tamasha hilo nchini Finland
Kiongozi wa Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo, Super Nyamwela akiwaongoza wazungu kucheza baada ya kuvutiwa na staili za wacheza shoo wa bendi hiyo.
Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza huku wakiwa kwenye vazi la asili ya Kitanzani nchini Finland kwenye Tamasha la Fist Afrika

1 maoni:

EDWIN NDAKI (EDO) said...

Nilipata bahati ya kuhuduria Tamasha la Fest Afrika hapa jiji Tampere.Hakika EXTRA BONGO BAND ni bendi inawasanii wenye kijituma,vipaji na ubunifu wa hali ya juu.

Kwa siku tatu walizopiga jiji la Tampere .wakazi wa tampere wameamia kuchukua usafiri kuwafata mji mkuu Helsinki jumatano wanapopiga show ya mwisho kwa nchi ya Finland kabla ya kuelekea nchi zingine barani ulaya.
Ni matumaini yangu ,wazee wa kizigo watarejea tena kwani wamewaacha mashabiki bado wana kiu.
Kila la kheri katika ziara yenu barani Ulaya.

Wasalaam
Edo

Post a Comment