Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Wednesday, May 21, 2014

airtel wafungua duka jippya la huhuma kwa wateja jijini Arusha.

 
Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala (kushoto) akizungumza jambo na Mgeni rasmi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyirembe Munasa wakati wa hafla fupi ya uzinduzi  wa duka la huduma kwa wateja jijini Arusha.Katikati ni Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba(wa pili kushoto) na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette Matindi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Alumeru, Nyrembe Munasa akizungumza jambo wakati wa uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja la Airtel jijini Arusha .Kutoka kushoto ni Meneja Biashara wa Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel, Brighton Majwala, Mkurugenzi wa huduma kwa wateja wa airtel Tanzania, Adriana Lyamba na Maneja wa Kanda ya Kaskazini wa TCRA, Inginia Annette Matindi.



Wafanyakazi wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Tanzania,tawi la jijini Arusha wakiwa katika picha ya pamoja mara bada ya uzinduzi wa duka la huduma kwa wateja
 

MSANII WA MUZIKI WA DANSI KHALID CHOKORAHA AJITOSA KWENYE NGUMI.

 Msanii wa muziki wa Dansi akiwa na mmoja wa waalimu wake mazoeziki, Francis Miyeyusho akijiandaa na mpambano wake hivi karibuni
 Khalid Chokoroha akiwa mazoezini akijiandaa na mpambano.
 Akiwa mazoezini
 Akifanya mazoezi
Chokoraha akiwa katika mazoezi makali

WASANII WAPIGWA MSASA KWA UDHAMINI WA BIA YA NDOVU.

 
Msanii wa nyimbo za kizazi kipya , Ilunga Khalifa, maarufu kwa jina la Cpwaa(kulia) akichangia maada wakati wa Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
 
Msanii Mkongwe wa muziki, Mzee Dully Sacks na Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Quick Racker wakiwa katikapicha ya paoja mara baada  Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
 
Msanii Mkongwe wa muziki, Mzee Dully Sacks na Msanii wa nyimbo za kizazi kipya Quick Racker wakiwa katikapicha ya paoja mara baada  Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo. 
 
Msanii Fid Q, akichangia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.
 
Msanii Mad Ice, akichangia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.


Meneja wa bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akifuatilia maada wakati Semina ya Ndovu Sanaa ni kazi iliyoandaliwa maalumu kwa kuelimisha wasanii kutambua haki zao na wapi wanaweza kwenda wanapohitaji haki hizo iliyodhaminiwa na TBL kupitia bia ya Ndovu special mail mwishoni mwa wiki.Kushoto waliokaa ni waongoza maada katika semina hiyo.

0 maoni:

Post a Comment