Bandi ya Muziki wa Dansi ya Extra Baongo chini ya uongozi wa Mkurugenzi, Ally Chocky leo iko katika Ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza baada ya ziara ya baadhi ya mikoa ya Kanda ya ziwa yen ye mafanikio na bashasha la mashabiki lukuki ikiwemo Kagera na Musoma
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki akiimba katika moja ya shoo zake
Wanenguaji wakicheza katika moja ya shoo zake
Wacheza shoo wakicheza katika moja ya shoo wakiongozwa na muimbaji wa bendi hiyo,Redo Mauzo(wa kwanza kulia)
Mambo ya enzi fulani katika shoo za Bendi ya Extra Bongo
Mpiga Bass, Hoseah Mgoachi akiwapagawisha wacheza shoo katika moja ya shoo za Bendi hiyo.
0 maoni:
Post a Comment