Wacheza shoo wa Extra Bongo wakicheza katika Ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza leo wakati wa ziara yao ya Kanda ya Ziwa |
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza sambamba na Mkurugenzi wa Bendi, Ally Chocky katika Ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo,Redo Muzo akiimba sambamba na Mkurugenzi wake , Ally Chocky katika ukumbi wa Villa Park jijini Mwanza
Wakicheza
Wakicheza
Wakicheza
Wakicheza
Mpiga Bass,Hoseah Mgoachi akilichakaza gitaa lake
Mpiga Tumba,Ngosha akiwajibika
Mpiga Drum,Katanyama akiwajibika
Mpiga Rhrythim,Mfaume akiwajibika sambamba na mpiga Solo wa Kamanyora Bandi
0 maoni:
Post a Comment