Mkuu wa
Wilaya ya Mwanza,Amina Masenza(wa pili kushoto) akimkabidhi mjasiliamali
Trekta(Power Tiller) na tela lake ,Shingi Jumanne wakati wa hafla ya kukabidhi
ruzuku kwa wajasiliamali waliofuzu katika program ya
Safari Wezeshwa iliyofanyikakwenye Uwanja wa Furahisha mwishoni mwa
wiki.Kulia ni Meneja wa Bia ya Safari Lger Oscar Shelukindo na Meneja Matukio
wa Kanda ya Ziwa TBL,Eric Mwayella.
Mjasiliamali akimshukuru Meneja wa Bia ya Safari Lager,Oscar Shelukindo
Mkuu
wa Wilaya ya Mwanza,Amina Masenza(kulia) akimkabidhi mjasiliamali Mashine na
kufua umeme na ya kuranda na kuchana mbao,Simon Shija wakati wa hafla ya
kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali waliofuzu katika program ya
Safari Wezeshwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa Furahisha mwishoni mwa
wiki.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lger Oscar Shelukindo
Mkuu wa
Wilaya ya Mwanza,Amina Masenza(katikati) akimkabidhi mjasiliamali Mashine ya
kusaga,Depdatus Mtalemwa wakati wa hafla ya kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali
waliofuzu katika program ya Safari Wezeshwa iliyofanyika kwenye Uwanja wa
Furahisha mwishoni mwa wiki.Kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lger Oscar
Shelukindo
Bendi ya Sebedaki wakitoa burudani wakati wa hafla hiyo
Oscar akizungumza
Jaji Mkuu, Jose Migunda akizungumza
Mkuu wa Wilaya ya Mwanza,Amina Masenza akizungumza
Picha ya pamoja
Wajasiliamali wakitoa shukrani
0 maoni:
Post a Comment