Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Said (kulia) akimkabidhi Ngao ya Jamii nahodha wa timu ya Yanga, Nadir
Haroub Kanavaro mara baada ya kuibuka mabingwa katika mechi ya Ngao ya jamii dhidi
ya Azam Fc iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam jana.Yanga ilishinda 1-0.
Matoke Luningani
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia bao la kwanza
lililofungwa na Salum Telela dakika ya pili Uwanja wa Taifa jijini Dar
es Salaam
Baadhi ya wachezaji wa Yanga wakishangilia bao la kwanza
Kikosi cha Yanga kilichoanza
0 maoni:
Post a Comment