Polisi jamii
wa Barabara ya Kilwa,wakiwa kwenye gwaride na mbwa waliopewa mafunzo maalumu ya
ulinzi shirikishi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya
ulinzi shirikishi wa Kata ya Makumbusho Mwananyamala Kinondoni jijini Dar es
Salaam leo.
Mhitimu
wa mafunzo ya Ulinzi shirikishi kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni ,Ally
Vumbi(kushoto)akipiga saluti kwa Mkuu wa Wilaya, Jordan Rugimbana mara baada ya
kutunukiwa cheti baada ya kumaliza mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaamleo.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kulia) akimkabidhi cheti, Mtendaji wa
Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni , Husna Nando wakati wa hafla ya
kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana (kushoto) akimkabidhi cheti cha
shukrani Mkuu wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya
Kinondoni, Koplo Ibrahim Omari wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu
wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es Salaam leo
Mkuu
wa mafunzo ya Ulinzi Shirikishi Kata ya Makumbusho Wilaya ya Kinondoni, Koplo
Ibrahim Omari akitoa shukrani kwa Mkuu wa Wilaya Jordan Rugimbana kwa kupisha
zoezi la kutoa mafunzo ya ulinzi shirikishi kuwa la Wilaya nzima wakati wa
hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa mafunzo ya ulinzi shirikishi Dar es
Salam leo.
Polisi
jamii wa Barabara ya Kilwa,wakiwa kwenye gwaride na mbwa waliopewa mafunzo
maalumu ya ulinzi shirikishi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa
mafunzo ya ulinzi shirikishi wa Kata ya Makumbusho Mwananyamala Kinondoni
jijini Dar es Salaam leo.
Polisi
jamii wa Barabara ya Kilwa,wakiwa kwenye gwaride na mbwa waliopewa mafunzo
maalumu ya ulinzi shirikishi wakati wa hafla ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu wa
mafunzo ya ulinzi shirikishi wa Kata ya Makumbusho Mwananyamala Kinondoni
jijini Dar es Salaam leo.
Mkuu
wa Wilaya ya Kinondoni, Jordan Rugimbana(kushoto) akizungumza na wahitimu wa
mafunzo ya Ulinzi shirikishi na wakati wa Kata ya Maakumbusho wakati wa hafla
ya kukabidhi vyeti kwa wahitimu hao Mwananyamala jijini Dar es Salaam leo
Diwani wa Kata ya Makumbusho,ally Haroub akitoa shukrani kwa Mkuu wa
Wilaya mara baada ya kukabidhi Vyeti kwa wahitimu 40 wa Ulinzi
Shirikishi Dar es Salaam leo.
Wahitimu chini ya Mkufunzi wao.
Wahitimu
Mmoja wa wahitimu akisoma risala
Wageni waalikwa
Baadhi ya wahitimu wakionyesha namna ya kumkamata mhalifa kwa usalama.
Wakionyesha namna ya kumkamata mhalifu
Mbwa wa Polisi Jamii wakiwa kwenye Gwaride
Mbwa wakiwa kwenye Gwaride
Polisi Jamii wakipongezana na mbwa wao
Mbwa wa Polisi jamii anavyoweza kudhibiti mhalifu.
Farasi wakionyeshwa ikiwa ni sehema ya vitu vya kutuliza ama kubaini uhalifu
Baadhi ya wahitimu katika picha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa jeshi la Polisi na Diwani wa Kata
0 maoni:
Post a Comment