Mshambuliaji wa timu ya Yanga,Jerison Tegete akifunga goli la pili kwa
njia ya penati wakati wa mechi ya kirafiki dhidi ya Mtibwa iliyochechwa
Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.Yanga imeshinda 3-1.
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia kwa staili ya pekee mara baada ya kushinda bao la tatu dhidi ya Mtibwa
Umati wa watu uliofika kushuhudia mechi hiyo
Wakishangilia bao la tatu.
Wakishangilia
Haya ndio matokeo mpaka mpira unamalizika
Wachezaji wa timu ya Mtibwa wakimzonga refa mara baada ya kuamuru penati
Umati wa watu ukishuhudia mechi
Kikosi cha Yanga kilichoanza
Kikosi cha Mtibwa kilichoanza
On
0
comments
Diwani wa Viti Maalumu na Mwenyekiti Mtendaji wa Aisha Sururu Fonditioni, Aisha Sururu kulia akiwakabidhi sehemu ya msaada alioutoa kwa ajili ya kuchangia watoto yatima kwa wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia Bakari kushoto na Asha Bani kwa ajili ya kupeleaka kwa watoto yatima katika vituo mbalimbali Misaada mingine ilitolewa na Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia, January Makamba,Mmiliki wa Maduka ya Silva Botique, Madam Nora, Katibu wa Taasisi ya Masheikh na Wanazuoni wa kiislam Sheikh Khamisi Mataka, na Mkurugenzi wa Kampuni ya QUALITY Printers And Stationers Amani Sokko PIcha na BLOG YA SUPER D |
|
Wanachama wa kikundi cha Habari Group Rabia Bakari kulia na Asha Bani wakiangalia baadhi ya vyakula na vitu mbalimbali walivyokabidhiwa kwa ajili ya kwenda kugawa kwa watoto yatima PIcha na BLOG YA SUPER D |
|
Wanachama wa Habari Group wakia katika picha ya pamoja na na mwenyekiti mtendaji wa Aisha Sururu fondition bi, Aisha Sururu |
Moja ya kituo cha kilichopewa misaada na Habari Group Leo |
Mwanachama
wa Kikundi cha Habari Group Asha Bani kulia akikabidhi sehemu ya
msaada walioutoa kwa Katibu wa Kituo cha kulelea watoto yatima cha
Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha Buguruni Bw. Abubakari
Simba Dar es salaam leo Picha na
www.burudan.blogspot.com
www.burudan.blogspot.com
Baadhi ya wanachama wa kikundi cha habari Group wakiwa katika picha ya pamoja na watoto yatima wanaolelewa katika Kituo cha kulelea watoto yatima cha Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha Buguruni baada ya kutoa misaada mbalimbali leo
Mwanachama wa Kikundi cha Habari Group Asha Bani kulia
akikabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Katibu wa Kituo cha kulelea
watoto yatima cha Al-Hidaya Orphans Center and Tahfidhil-qur-an cha
Buguruni Bw. Abubakari Simba Dar es salaam leo Picha na
www.burudan.blogspot.com
www.burudan.blogspot.com
Mwanachama wa Kikundi cha Habari Group
Asha Bani kulia
akikabidhi sehemu ya msaada walioutoa kwa Msimamizi Mkuu wa kituo cha
kulelea watoto yatima cha Al Furqan Islamic Center cha Chanika Bw,Hamisi
Omari Dar es salaam leo Picha na
www.burudan.blogspot.com |
On
0
comments
Baadhi
ya watumishi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakiwa katika
picha ya pamoja katika banda lao lililopo ndani ya Viwanja vya Nzuguni
Mjini Dodoma yanapofanyika Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima Nane Nane.
Mwaka huu TCRA wanakuambia 'FUTA-DELETE' ujumbe wowote usio na maana
katika simu yako au mtandao wa Barua pepe. Ila Father Kidevu Blog,
inaongezea Ujumbe 'PUUZIA-IGNORE' taarifa yeyote isiyo na manufaa kwa
jamii katika Mitandao ya Kijamii.
Naibu
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mwasiliano Tanzania (TCRA) anaeshughulika na
Uratibu wa Kanda, Victor Nkya akitoa elimu ya FUTA-DELETE kwa vijana
waliotembelea banda hilo leo.
Kikosi
kazi cha Kampuni ya Magazeti ya Serikali Tanzania Standard Newspapers
(TSN) Limited ambacho kipo ndani ya viwanja vya Nzuguni katika Banda la
Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo katika Maonesho ya siku ya
Wakulima Nane Nane yaliyoanza Agosti Mosi na kutaraji kumalizika Agosti
8, 2013 kitaifa Mkoani Dodoma. Kushoto ni Afisa Masoko, Francis Kihinga
akiwa na Afisa Mauzo na Masoko, Chikira Mgheni. TSN ndio wachapishaji na
wasambazaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News, HABARILEO,
HABARILEO Jumapili na SpotiLEO.
Afisa
Masoko wa TSN, Francis Kahinga akigawa majarida ya Elimika na Academy
kwa wanafunzi walio tembelea banda la TSN. TSN ndio wachapishaji na
wasambazaji wa Magazeti ya Daily News, Sunday News, HABARILEO, HABARILEO
Jumapili na SpotiLEO.
Kampuni
Kongwe ya Mawasiliano ya Simu Tanzania (TTCL) nayo ipo katika Viwanja
vya Nzuguni, kuelimisha umma juu ya huduma zake. Pichani ni Maofisa wa
Kampuni hiyo Thomas Lemunge ambaye ni Afisa Biashara wa Mkongo wa Taifa
wa Mawasiliano (katikati) akitoa elkimu kwa mwananchi huku Afisa Habari,
Amanda Luhanga akifuatilia.
Wafanyakazi mbalimbali wa TTCL wakiwa bandani hapo wakitoa elimu ya huduma zao.
Ofisa Masoko na Utafiti wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
Arusha (AICC), Linda Nyanda, akiwapa maelezio wanafunzi wa kidato cha tatu
wa Sekondari ya Maria de-Mathias ya mjini Dodoma juu ya shughuli mbalimbali za
AICC walipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Wakulima nane nane katika
Uwanja wa Nzuguni mjini Dodoma.
Ofisa Habari Mwandamizi na Itifaki wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa
Arusha (AICC), Catherine Kilinda akiwapa maelezio wanafunzi wa kidato cha tatu
wa Sekondari ya Maria de-Mathias ya mjini Dodoma juu ya shughuli mbalimbali za
AICC walipotembelea banda hilo katika Maonesho ya Wakulima nane nane katika
Uwanja wa Nzuguni mjini Dodoma.
Afisa
Mauzo wa Kampuni ya YARA Tanzania Limited, Catherine Assenga (kushoto)
akimsadia mwananchi aliyetembelea banda lao lililopo ndani ya Banda la
NMB katika Viwanja vya Maonesho Nane Nane, Nzuguni Mjini Dodoma. YARA
ndio wasambazaji wa Mbolea CHAPA MELI.
On
0
comments
Katibu
wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akitoa ufafanuzi wa CCM juu ya
Rasimu ya Katiba mpya katika mkutano uliofanyika Mwanza leo na
kuwakutanisha vijana wa makundi mbali mbali.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM, Ndugu Stephen Wasira akifafanua juu ya mstakabali wa vijana katika mchakato wa Katiba mpya.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza Dk.Anthony Dialo akichangia mada juu ya umuhimu wa serikali mbili kwa Tanzania.
Mwenyekiti
wa Vijana wa CCM Mkoani Mwanza Sixbert Ruben akielezea umuhimu wa
vijana wa Mwanza katika kushiriki kwa kwenye mchakato wa Katiba mpya.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM Martin Shigela akifafanua juu ya umuhimu wa vijana katika suala la Katiba mpya
Sehemu
ya Vijana walioshiriki katika mjadala wa mchakato wa Katiba mpya
uliofanyika leo katika ukumbi wa chuo cha mafunzo Benki Kuu mkoani
Mwanza ambapo vijana zaidi ya mia sita walihudhuria.
MAKAMU WA RAIS AKABIDHI ZAWADI ZA WASHINDI WA SHINDANO LA TATU LA KUHIFADHI QUR'AN TUKUFU JIJINI DAR
On
0
comments
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza za waumini wa dini ya Kiislamu, wakati wa hafla ya
kukabidhi zawadi kwa washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Qur'an
Tukufu, iliyofanyika jana usiku Agosti 2, 2013 katika Msikiti wa
Istiqaama, jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya Sh. milioni 2, mshindi wa kwanza wa kuhifadhi
Juzuu 30, Abdulkarim Khamis, wakati wa hafla ya kuwakirimu na kukabidhi
zawadi kwa washindi hao iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaama, Ilala
jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akimkabidhi zawadi ya Sh. milioni 1.5, mshindi wa kwanza wa kuhifadhi
Juzuu 20, Maryam Nassor (8), wakati wa hafla ya kuwakirimu na kukabidhi
zawadi kwa washindi hao iliyofanyika kwenye Msikiti wa Istiqaama, Ilala
jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Mtoto
Maryam Nassor (8) akisoma moja ya haya iliyo katika kitabu cha Juzuu
kwa kichwa, wakati wa hafla ya kuwakirimu na kukabidhi zawadi kwa
washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu iliyofanyika kwenye
Msikiti wa Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Zoezi la utoaji zawadi likiendelea.
Zoezi la utoaji zawadi likiendelea.
Sheikh
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni
rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, kuzungumza na waumini wa dini ya
Kiislamu, wakati wa hafla ya Kuwakirimu na kukabidhi zawadi kwa washindi
wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu, iliyofanyika kwenye Msikiti wa
Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam, jana usiku.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu, waliohudhuria hafla hiyo.
Sehemu ya waumini wa dini ya Kiislamu, waliohudhuria hafla hiyo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kukabidhi
zawadi za washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu, wakati wa
hafla ya kuwakirimu wasindi hao iliyofanyika kwenye Msikiti wa
Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na baadhi ya waumini wa dini ya Kiislamu baada ya kukabidhi
zawadi za washindi wa shindano la tatu la kuhifadhi Juzuu, wakati wa
hafla ya kuwakirimu wasindi hao iliyofanyika kwenye Msikiti wa
Istiqaama, Ilala jijini Dar es Salaam jana usiku.
On
0
comments
Wachezaji wa timu ya Simba wakisahngilia bao la kwanza dhidi ya Polisi Combine wakati wa mechi ya kirafiki ya kujipima iliyochezwa Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam |
Wachezaji wa Police Combine wakishangilia mara baada ya kufunga bao la kusawazisha
Washangilia kwa staili yao ya pekee
Bao la kusawazisha la Pilisi lilivyopigwa
Humudi akijaribu kufunga
Mtoto akiangalia mpira kwa hisia
Kikosi cha Simba kilichoanza
Kikosi cha Polisi Combine kilichoanza
0 maoni:
Post a Comment