Nahodha wa timu Taifa ya Kenya,Coluns Tuwei, akishangilia mara baada ya
kumalizia mchezo wa mwisho na wa ushindi dhidi ya Tanzania wakati wa
mechi ya kirafiki iliyochezwa jijini Arusha, ikiwa ni kipimo cha
maandailizi ya mashindano ya Afrika ya mchezo huo yanayotarajiwa
kufanyika Nchini Malawi.
Nahodha wa timu ya Kenya, Coluns akipongezana na wachezaji wenzake
Mwamuzi wa mechi ya kirafiki dhidi ya Tanzania na Kenya, Issaya
Peter,akiwaamuru wacheze wakati wa mechi hiyo.Kushoto ni Nahodha wa timu
ya Kenya, Coluns Tuwei na nahodha wa timu ya Tanzania, Charles Venance.
Wakijiandaa kucheza
Nahodha wa timu ya Kenya, Coluns Tuwei akicheza
Nahodha wa timu ya Kenya, Charles Venance akicheza
Kocha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Denis Lungu (kulia) akimnong'oneza
jambo mchezaji wake, Fred Steven wakati akiingia kucheza.
Mchezaji wa timu ya Tanzania , Fred Steven akicheza
Wachezaji wa timu ya Tanzania wakishangilia
Wakishangilia
Mwamuzi, Issaya Peter akiwaamuru wachezaji, Mohamed Idd (kulia) na Joseph Mugisha wacheze
Mchezaji wa Kenya , Joseph Mugisha akicheza
Mchezaji wa Tanzania, Mohamed Idd akicheza
0 maoni:
Post a Comment