Matembezi ya Hisani ya Dawati ni Elimu yakiongozwa na Mama Salma Kikwete
kutoka Mnazi mmoja hadi Bunge,hapa ni kwenya barabara ya Ohio mjini dar
es salaam
Watu wakiwa wameketi baada ya matembezi
DC Raymond Mushi akikaribisha wageni
Matembezi ya hisani ya dawati ni elimu ikianza uwanja wa mnazi mmoja
Mgeni rasmi mama salma kikwete akifurahia zawadi yake
Mgeni rasmi Mama salma Kikwete akisisitisha umuhimu wa elimu
Mstahiki meya Jerry silaa akimkabidhi zawadi Mgeni rasmi mama Salma Kikwete
Wanafunzi wa shule ya msingi ya bunge wakikaribisha mgeni rasmi
Wanafunzi wakitumbuiza wageni
0 maoni:
Post a Comment