Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia bao la kwanza dhidi
ya Mtibwa Suger lililofungwa na mshambuliaji wa timu hiyo,Mrisho Ngassa
kipindi cha kwanza.Yanga ilishinda 2-0.
Yanga wakishangilia
Baadhi ya wachezaji wa timu ya Yanga wakishangilia bao la pili
lililofungwa na mshambuliaji,Didier Kavumbagu kutoka kwenye krosi ya
mshambuliaji Mrisho Ngassa kipindi cha kwanza.
Washambuliaji wa timu ya Yanga wakipongezana mara baada ya kufunga bao la pili dhidi ya mtibwa Suger
Wakipongezana
Kikosi cha timu ya Yanga kilichoanza
Askari wa Jeshi la Polisi wakikagua wapenzi na mashabiki wanaoingia
Uwanja wa Taifa kushuhudia mechi ya Yanga na Mtibwa Suger ikiwa ni
utaratibu wa usalama ulioanza hivi karibuni
Kikosi cha timu ya Mtibwa Suger kilichoanza
Usalama muhimu
Mchezaji ,Simon Msuva akipewa huduma ya kwanza
0 maoni:
Post a Comment