Meneja
masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara (kushoto),Msimamizi
mwandamizi wa Bahati na sibu ya Taifa, Emmanuel Mdaki na Mratibu wa Programu za
Samsung, Lawrence Andrew wakimpigia mteja aliyeshinda kwenye droo ya mwezi kwa
wateja wa bidhaa za Kampuni hiyo Mwenge Dar es Salaam
Meneja
masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara (kushoto),Msimamizi
mwandamizi wa Bahati na sibu ya Taifa, Emmanuel Mdaki na Mratibu wa Programu za
Samsung, Lawrence Andrew wakichezesha droo ya mwezi kwa wateja wa bidhaa za Kampuni
hiyo Mwenge Dar es Salaam
Meneja
masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara (kushoto),Msimamizi
mwandamizi wa Bahati na sibu ya Taifa, Emmanuel Mdaki na Mratibu wa Programu za
Samsung, Lawrence Andrew wakimpigia mteja aliyeshinda kwenye droo ya mwezi kwa
wateja wa bidhaa za Kampuni hiyo Mwenge Dar es Salaam
Meneja
masoko wa Kampuni ya Samsung nchini, Sylivester Manyara(wa tatu kushoto)
akiwaonyesha baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam namana ya droo inavyochezesha na washindi
wanavyopatikana wakati wa kuchezesha droo ya mwezi iliyochezeshwa Mwenge Dar es
Salaam
Dar es Salaam:
Kwa mara nyingine tena Kampuni ya Samsung Tanzania imechezesha droo ya mfumo
wake wa “E-Warranty”, washindi walitangazwa katika hafla iliyoandaliwa katika
Stendi Kuu ya Mwenge, jijini Dar es Salaam. Mfumo huu wa “E-Warranty ni mbinu
inayotumiwa na Kampuni ya Samsung kama jinsi ya kukumbana na bidhaa feki
zinazopatikana kwenye soko la Tanzania.
Mfumo huo wa
e-warranty unawasaidia wateja kujua kama simu ya Samsung ni halali au ni feki.
Wateja wanapaswa kusajali simu zao pale wanapozinunua na hivyo kupata dhamana
ya miezi 24.
Meneja Mkuu wa Samsung Tanzania, Bwana Kishor Kumar akizungumuza na waandishi wa habari alisema
“Mfumo wa E-Warranty imeonyesha kwamba ni mbinu bora zaidi dhidi ya kukumbana
na bidhaa feki kwani wateja wengi wanasajili simu zao. Tunawahimiza wateja
wetu waendele kutuunga mkono kwa kununu
bidhaa bora na kuzisajili na hivyo kupata nafasi ya kujishindia bidhaa kabambe
za Samsung katika droo zetu”.
Washindi wanaweza
kushinda zawadi 1 kati ya hizi 10: Televisheni 1 aina ya LED ya inchi 32,
laptop 1, Kamera 3, home theatre 3 na simu 2 aina ya Galaxy Grand.
Bwana Kumar
aliendelea kusema “ Licha na kujua kama simu mteja anayotaka kununua ni bora au
feki, mfumo wa e-warranty unawasiadia wateja kujua kama simu hiyo inadhama ya
miezi 24, kama simu hiyo inatafutwa au imeibiwa na kama simu hiyo ni mpya au
imeshatumika”.
Kujua kama simu ni
halali, mteja anatakiwa kufuta maelekezo yafuatayo: Tuma ujumbe na neno ‘Check’
ikifuatiwa na alama ya nyota (*) kisha namba ya IMEI, ikifuatiwa
na alama ya reli (#) na kutuma kwa namba ‘15685’. Ujumbe unatumwa
moja kwa moja kuelezea hadhi ya simu hiyo ya Samsung.
“Mfumo huu wa
e-warranty ulianzishwa haswa kukabiliana na changamoto moto inayoikumba soko la
simu za mkononi huku Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla, ambapo kuna simu
nyingi ni za bandia, za wizi, zilizotumika na simu ambazo hazina dhamana”,
alisema Bwana, Kumar.
Bwana Kumar
alimaliza kwa kusema ‘ili kuboresha huduma zetu za mfumo wa e-warranty, wateja
watakaonunua simu aina ya Galaxy S 4 (iliyozinduliwa mwezi huu jijini Dar es Salaam),
watapata huduma mpya inayoitwa ADH. ADH (Accidental Damage from
Handling), ni huduma inayoilinda simu hiyo ya S 4 kutoka uharibifu kutokana na
matumizi ya kawaida’.
Ilikujiunga na
huduma ya ADH, wateja wanatakiwa kujisajili na mfumo wa e-warranty na usajili
untakiwa kufanywa ndani ya siku 30 tangu kununuliwa kwa simu. Athari ya
kutokujiunga na mfumo wa e-warranty kwa muda unaotakikana ni kwamba simu hiyo
ya S4 haitaweza kutengenezwa kwa bure pale ambapo itaharibika.
SCANIA KUTIMIZA MIAKA 40 NCHINI TANZANIA
Mgeni rasmi
msaidizi wa Mkurugenzi Mkuu wa huduma za Shirika la Reli Nchini,Festo
Mwanyika(katikati),Balozi wa Swiden nchini Tanzania, Lennarth Hjelmaker na
Mkurugenzi Mkuu wa Scania, Steve Wager wakikata keki wakati wa hafla ya Kampuni
ya Scania kutimiza miaka 40 ya huduma zake nchini Tanzania.
Meneja
Biashara muendeshaji wa Kampuni ya Scania Nchini Tanzania, Joseph
Kayuzaa(kulia) akizungumza na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa
kutangaza kutimiza kwa miaka 40 ya huduma za Scania nchini,mkutano huo
ulifanyika Dar es Salaam jana.Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Scania, Anders
Friberg na Mwenyekiti wa Scania Kusini mwa Afrika, Steve Wager.
THE importer in Tanzania, Scania
Tanzania Ltd, celebrates its 40th anniversary this year. From
steadily growing truck and bus sales in early 1970s, Scania’s Tanzania
operations have expanded to encompass service and support facilities for the
company in the increasingly vital East Africa region.
The anniversary was celebrated
in Dar es Salaam, where the Minister of Transport, Hon.Dr. Harrison Mwakyembe
was among the guest of honour .The Scania executive management was represented
by executive regional director sales & service, southern Africa, Asia &
Oceania, Marketing director, Chairman of Scania Southern Africa.
Since 1973, Scania has delivered more than 5000 vehicles to Tanzania,
most of them locally assembled. Addressing guests Mr. Anders Friberg, MD of Scania Tanzania said “Scania Tanzania can
today show an expanding operational base and an extended service network in
Arusha, Mwanza, Mbeya, and Tanga with plans for expansion into other regions”.
The very first order for
Tanzania came from a Chinese company 40 years ago which launched the Tazara
railway project where the company purchased 200 tipper trucks from Scania.
To date, Scania Tanzania is the
wholly owned subsidiary of Scania AB, Importing and stockholding of Scania
heavy duty trucks, buses and spare parts supply.
“Customers in Tanzania are
increasingly realising the significance of overall operating costs in their
vehicle purchases”, Mr. Friberg added.
Scania vehicles have over the
years earned high reputation among its customers due to its strength,
reliability and availability of after sales services.
Scania has plans to expand its
business by focusing on other segments like (mining and construction, special
purpose vehicles i.e., Fire trucks, military vehicles garbage / refuse
collector vehicles),
We welcome customers and other
transport stakeholders to try and enjoy Scania product and services.
SCANIA
OVER THE YEARS;
1980s- Scania signs a
joint venture agreement with the Tanzania government to build an assembly plant
in Kibaha, approximately 40 kms outside Dar es Salaam.
0 maoni:
Post a Comment