Marehemu Mwantumu akicheza katika moja ya shoo za Extra Bongo enzi za
uhai wake, Mwantumu alifariki jana katika Hospitali ya Mwananyamala
jijini Dar es Salam chanzo cha kifo chake fuatilia mtandao huu
tutakujulisha punde.
Mwantumu enzi za uhai wake
Marehemu Mwantumu
Kwaheri Mwantumu
Mwantumu wa kwanza (kushoto) akiwa katika pozi na wacheza shoo wenzake
Marehemu, Mwantumu(wa kwanza kulia) aktika moja ya shoo za Extra Bongo na wenzake
Dah mwantumu ndio kwaheri tena.......
Mwantumu (kulia) akicheza na wacheza shoo wenzake
EXTRA BONGO WAENDELEA KUTESA DAR
Wacheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo wakicheza wakati wa onyesho lao la
kila jumamosi katika Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba wakati wa onyesho hilo.
Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo, Athanas Mothanabe akiimba wakati wa onyesho hilo.
Muimbaji wa Bendi hiyo akiimba
Muimbaji wa Bendi hiyo akiimba
Mpiga Solo, Joshua na mpiga rhythm wakiwajibika
Rapa wa Bendi ya Extra Bongo, Zungu akifanya vitu vyake
Mcheza shoo mkongwe, Otilia Boniphace akifanya vitu vyake
Hapooo
RAIS KIKWETE AHUDHURIA MKUTANO WA PAMOJA WA SADC NA ICGLR PRETORIA AFRIKA YA KUSINI.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege
wa Waterloof Air Force Base jijini Pretoria, Afrika ya Kusini Jumatatu Oktoba
4, 2013 tayari kuhudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya
maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akihudhuria mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya
maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa
mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini, usiku
wa kuamkia leo Oktoba 5, 2013

Meza
kuu katika mkutano wa pamoja wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika
(SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa
Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya Kusini
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Joseph Kabila wa
Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wakiwa katika mkutano wa pamoja wa nchi za
jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika (SADC) na za maziwa makuu (ICGLR) katika
ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Oliver Tambo jijini Pretoria, Afrika ya
Kusini
0 maoni:
Post a Comment