Mratibu wa mashindano ya Pool kwa Higher Lerning,Innocent Meleck akimkabidhi zawadi ya kitita cha Sh 500,000 nahodha wa timu ya Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),Rashid Mashaka baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano hayo yaliyofanyika Coco Beach Dar es Salaam
Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakifurahia kitita cha Sh 500,000, baada ya kuibuka mabingwa kwenye mashindano ya Pool kwa vyuo vya Dar es Salaam, yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Coco Beach 
Timu ya IFM wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukabidhiwa kitita

Wakicheza kwa furaha baada ya kuibuka mabingwa

Wakimshukuru Mungu
0 maoni:
Post a Comment