Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Saturday, June 4, 2011

EXTRA BONGO WAENDELEA KUITEKA DAR KATIKA BURUDANI

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Chocky akiimba wakati wa onyeso la Bendi hiyo lililofanyika Mzalendo Pub Dar es Salaam Kutoka kulia ni Banza Stone ,Ally Chocky na Rama wakiimba


Mwambaji wa Bendi hiyo Rama Pentagoni akiimba

Banza Stone akiimba


Athanas Motanabe akkimba

Mpiga bass, Hosea Mgoati akifanya vitu vyake



Ally Choki akicheza sambamba na wacheza shoo wake







Wacheza shoo wa kike wakicheza wakati wa onyesho hilo



Rapa wa bendi hiyo,Faghason akiimba sambamba na wacheza shoo wake















Fatma Kibororoni akifanya vitu vyake

Wacha wee - KIDUKU

Duh.... Staili zingine...




Duh..Tafuma Kibororoni


Sasa hii kali....

Wacha we....

Bob Kissa akicheza sambamba na wacheza shoo

Bob Kissa we...

Rama Pentagon akifanya vitu vyake

Bob Kissa akionyesha vitu vyake



Shabiki wa Extra Bongo,Msaanii wa Luninga kutoka kundi la Mzengwe, Zembwela akifanya vitu vyake

Hapo sasa,...


Cheza shoo akcheza sambamba na mashabiki katikati ni Tabisa mshabiki wa Extra Bongo

Mashabiki wakicheza ambao mmoja wao alikuwa anaadhimisha siku ya kuzaliwa kwake

Mh.....hapo sasa....


Chocky na shabiki wa bendi hiyo,. Tabisa

0 maoni:

Post a Comment