
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky (kulia) akiimba sambamba na Msanii wa nyimbo za mashairi, Mrisho Mpoto kwenye Ukumbi wa Mzalendo Pub Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky (kushoto) akiimba na msanii chipukizi, Manjegeka

Wachezashoo wakifanya vitu vyao



Wacha weeee....

Ahaaa.....

Mhariri wa Gazeti la Michezo la Mtanzania, Racheal Mwiligwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa wakati Extra Bongo wakiwa katika onyesho lao la kila wiki katika Ukumbi wa Mzalendo Dar es Salaam

Rachel akikata keki (kushoto) na rafiki yake kipenzi Zaituni

Wafanyakazi wenzake wakimpongwza

Hongera Boss

Rachel akimlisha msanii wa nyimbo za mashairi , Mrisho Mpoto

Rachel akimlisha mmoja wa wafanyakazi wenzake wa New Habari

Rachel akimlisha mmoja wa wafanyakazi wenzake

Rachel akimlisha mmoja wa wacheza shoo wa kiume

Kula dadani birthday yangu

Tamu hiyo.....

Tama sana......

Martine Kibosho na wewe kula kaka.....

Sasa ni kucheza

Choki sambamba na wacheza shoo

Twende sasa......

Aha.......

Duh.......

Mnatisha........

Mh....

Wakifuatilia burudani ya Extra Bongo

Extra bongo sasa haikamatiki tena...

Msanii chipukizi akiimba

Akiiimba sambamba na Mkurugenzi Choki

Hapo sasa....

Haya sasa....


Bob Kisa (kushoto) wakiimba sambamba na Athanas Motanabe

Choki na Mjomba

Wakiimba

Mjomba Mpoto akiimba

Mjomba akiimba

Akiimba
0 maoni:
Post a Comment