
Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Chocky akiimba wakati wa shoo hiyo

Mcheza shoo wa kundi la wanenguaji wa kitu tigo akionyesha umahili wake

Ohooooo

Hapo sasa....

Kanga moja nao wakinyesha umahili wao

Oya utavunja shingo.....

Hapo hapo..

Dada muache mwenzio..

Sasa hapo inakuwaje tena, ajali au?

Dada kwa kukata kino.....

Duh...

Huku unaangalia miondko yako

Twende sasa

Haya sasa..

Huko nyuma mnamwamini nani?

We.......

Sasa hapo tena inakuwaje?

Mashabiki wakifurahia

Twende sasa...

Kaka na wewe unashuhudia..

Sasa hapo mbona kama kumbi kumbi tena?

Extra Bongo mkazini

Oya mbona hatuelewi.....mashetani au mzuka?

Martin Kibosho akifanya vitu vyake
0 maoni:
Post a Comment