Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Sunday, June 19, 2011

IFA - SOUND WAENDELEZA BURUDANI MTAANI JIJINI DAR

Wanamuziki na wacheza shoo wa Bendi ya IFA-Kutoka Mkoani Ifakara yenye makazi yake Kigogo Mburahati wakitoa burudani ya Muziki wa Dansi kwa mafundi magali wa Gereji ya Mwananyamala Mwinjuma jijini Dar es Salaam
Mcheza shoo, Majuto akionyesha vitu vyake

0 maoni:

Post a Comment