
Rapa wa Extra Bongo, Fagasoni akipanda mgongoni kwa Shabiki wa Bendi hiyo, Thabisa wakati wa shoo yao iliyofanyika Mzalendo Pub jijini Dar es Salaam

Fagasoni sasa hapo utaua.......

Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Chocky akiimba sambamba na shabiki wa bendi hiyo, Thabisa

Wanenguaji wakifanya vitu vyao

Twende sasa...

Mr. Nice akiimba sambamba na Mkurugenzi wa Extra Bongo alipo tembelea Bendi hiyo

Kiongozi wa Bendi, Rogati Hega Katapila akiwa kwenye posi na Thabisa

Wacheza shoo wakiwajibika vilivyo.

Mashabiki wakilisakata Dance

A.... Chockyiiiiiiiiiiiiii

Mr. Nice na Chocky

Thabisa akicheza wakati Mr.Nice akiimba

Katapilaaaaaaaaaaaaaaa.

Chocky,Mr.Nice na Banza wakiimba

Chocky na Mr.Nice wakiimba

Mr.Nice akiimba

Chocky na Mr.Nice wakiimba

Mr.Nice akiimba wakati Thabisa akicheza

Chocky akiimba

Athanas Motanabe akiimba

Bob Kisa akiimba

Rama Pentagon akiimba

Rogath Hega akiimba

Mpiga Bess, Hosea Mgoati akiwajibika

Msanii wa Kuigiza Sauti, Steve Nyerere akimtunza Athanas





Rapa Fagasoni akiimba

Chakuku kazini

Shoshua akipiga soro






Waimbaji wakiimba

Mr. Nice akiimba
0 maoni:
Post a Comment