Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Friday, September 16, 2011

EXTRA BONGO WAAHIDI KUFANYA SHOO KALI YA KIHISTORIA NDANI YA MUSOMA KATIKA UKUMBI WA MAGEREZA

Hosea Bass,Ally Chocky na Joshua Solo wakiyacharanga magitaa kwa staili ya pekee ambayo iliacha midomo ya mashabiki wazi
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba sambamba na mchza shoo wake Angel kwa nyimbo ya Mwaka wa tabu ambayo mcheza shoo huyo ilimkumbusha mbali
Duh hawajamaa bwana wameamua kuangamiza Bendi zingine nini?
Chocky sasa hiyo duh......
Nyamwela hizo staili unazitoa wapi? wewe ni mtanzania kweli au Mchina ? Duh...
Chocky kila chombo wewe umo tu.....


Pata burudani murua....












0 maoni:

Post a Comment