
Aisha Mbegu akicheza kwa staili ya pekee iliyowashangaza mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Aisha Mbegu (kulia) akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Wapiga Gitaa wakiwajibika kwa pamoja wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
Mkurugenzi wa Bandi ya Extra Bongo Next Level, Ally Chocky akiimba jukwaani wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria.

Hoseah Mgoati (Bass) akicharanga Bass wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Super Nyamwela akicheza mbele ya mashabiki wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Mkurugenzi wa Bandi ya Extra Bongo Next Level, Ally Chocky akicheza na Mama mtu mzima ambaye alishindwa kujizuia akaamua kupanda Jukwaani wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Otilia na Aisha wakicheza wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria

Mkurugenzi wa Bandi ya Extra Bongo Next Level, Ally Chocky akiimba jukwaani wakati wa onyesho walilolifanya kwenye Ukumbi wa Magereza Msoma Mara wakati wa ziara ya Bendi hiyo Kanda ya Ziwa Victoria
0 maoni:
Post a Comment