Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Thursday, September 29, 2011

MASHABIKI WA EXTRA WANENA KUWA MKUBWA NI MKUBWA.....

Na Michael Machellah
MPIGA DRUM wa Bendi ya Extra Bongo,Martine Kibosho wamkubali mashabaki kuwa mkubwa ni baada ya kuzikonga nyoyo za wapenzi na mashabiki wa Kanda ya Ziwa.
Martine Kkibosho baada ya kurejea na Bendi kwa mara ya kwanza kwa Bendi hiyo kupiga katika onysho la wazi ambapo mpiga Drum huyu alifannya kazi ammbayo kila mtu aliikubali
Bendi ya Extra Bongo leo wako Mzalendo ambapo kesho watapiga katika ukumbi wa Magareza Ukonga na Jumamosi ni pale Kiwanja cha Nyumnba Meeda na Jumapili ni TP Bonanza kila jumapili


0 maoni:

Post a Comment