Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Thursday, September 29, 2011

ROGATH HEGA WA KATAPILA AIBUKA NA NYIMBO MPYA YA MIAKA 50 YA UHURU


Na Michael Machellah
KIONGOZI wa Bendi na Muimbaji wa Bendi ya Extra Bongo Next Level,Rogath Hega wa Katapila ametunga kibao kipya cha kutimiza miaka 50 ya Uhuru kwa Nchi yetu ya Tanzania .
Akizungumza na mtandao huu amesema Rogath kibao hicho kiko tayari na wameshaanza kukifanyia mazoezi wakati wowote wanaweza kuingiza Studio tayari kwa kukiingiza kwenyeutaratibu wa Audio.
Kiongozi Rogath amesema kutoka kwake Twanga anataka audhihirishie uma wa Watanzania kuwa anaweza na kuhama kwake ni kwa kutaka mabadiliko hivyo amejiunga Extra Bongo kufanya kazi na si bra bra.
Hivi karibuni alitunga kibao cha nguzo tano za mapenzi ambacho kimegusa sana maisha ya watu hivyo kupelekea watu wengi kuupenda wimbo huo alisema Rogath.
Rogath Hega sasa amekuwa ni mtunzi na mwimbaji kati ya wanamuziki wa kigwa haswa tungo zao zinpoonekana kuwa za maana ndani ya jamii haswa wanapoguswa hapo ndipo unweza kujua kuwa nyimbo iakubalika ama la.

0 maoni:

Post a Comment