Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Thursday, September 29, 2011

MZEE WA PAMBA AIUNGA MKONO MEDIA ENTERTAINMENT KUFANIKISHA TP SUNDAY BONANZA

Mweka hazina wa Media Entertainmen,Rhobby Chacha akionyesha pesa,Tsh.50,000/= mara baada ya kukabidhiwa na Mdau na mpenzi wa muziki wa Dansi Vitus Mzee wa Pamba
Mzee wa Pamba akimkabidhi mweka hazina Rhobi Chacha kiasi cha Tsh.50,ooo/=
Mzee wa Pamba akiwa kwenye kiwanja chake mara baada ya kuipiga tafu Media Entertaiment

0 maoni:

Post a Comment