Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Wednesday, September 28, 2011

EXTRA BONGO KUWASHA MOTO LEO NDANI YA MASAI CLUB ILALA DAR ES SALAAM

Na Michael Machellah

BENDI ya Muziki wa Dansi ya Extra Bongo Next Level leo wanatarajia kuwasha moto kwenye ukumbi wa Masai Club,Ilala jijini Dar es Salaam

Akizungumza na mtandao huu Kiongozi wa Bendi,Rogath Hega wa Katapila amesema wapenzi na mashabiki wa muziki wa Dansi wajitokeze kujionea mambo mapya na mazuri ya Bendi yao baada ya kurejea kutoka kanda ya Ziwa.

Alisema,Rogath kuwa bendi hiyo kesho watakuwa katika ukumbi wa Mzalendo ambapo wakinadada ni bureeee,Ijumaa ni katika Ukumbi wa Magezreza Gongo la Mboto,wakati Jumamosi ni Ukumbi wa Nyumbani Meeda Sinza na Jumapili Bendi ya Extra Bongo wataendelea na Bonanza Viwanja vya TP Sinza Uzuri Jijini Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment