
Mwimbaji wa Extra Bongo,Banza Stone akiimba nyimbo zake za enzi hizo wakati wa tamasha la kukaribisha miaka 50 ya Uhuru lililofanyika Viwanja vya furahisha jijini Mwanza

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo,Ally Chocky akitoa shoo wakati wa tamasha la kukaribish miaka 50 ya Uhuru lililofanyika viwanja vya furahisha jijini Mwanza

Wacheza shoo wakionyesha umahili wao wakati wa shoo hiyo.

Baadhi ya wanamuziki wa Extra Bongo wakiwa kwenye mapumziko wakisubili muda wa kupanda jukwaani

Wacha weeeeeee.....

Hapooooo.......

Ahaa............

Otilia staili gani tena hizo.............

Chocky na Bob Kissa wakiingia uwanjani kucheza shoo

Mwantum, dada hiyo sasa dah................

Bob Kissa akwaonyesha wakazi wa Mwanza umahili wake.

Bob Kissa akienda sambamba na shabiki lilijitokeza

Wacheza shoo wa kiume wakifanya mambo

Twende sasa.....

Mh............

Haya sasa.....

Aya weeeeeee......

Chakuku acha fujo zote hizi unapeleka wapi? si ukae tule wote....

Chakuku mgomviiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
0 maoni:
Post a Comment