
Mcheza shoo wa Bendi ya Extra Bongo,Aisha Mbegu akiimba wakati wa onyesho la Bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Jijini Dar es Salaam

Duh,Bi Mkubwa anaimba?

Wakicheza

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Chocky akiimba sambamba na mashabiki wakati wa onyesho la Bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.

Sasa hapo inakuwaje?

Aha.....

Msanii wa nyimbo za kizazi kipya,Hussein Machozi akiimba wakati wa onyesho la Extra Bongo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Akiimba sambamba na mashabiki

Haya sasa.....

Rapa wa Bendi ya Extra Bongo,Saullo Fagason akiimba sambamba na shabiki wakati wa onyesho la Bendi hyo kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Duh,Fagaaaaaaaaa
1 maoni:
Jigambeeeeeeeeeee kuwa mTanzania bwana!jaribu kutembelea http://www.jigambe.com http://www.jigambeAds.com na http://www.TanzaniaKwetu.com uone watu wanavyojigamba kwa technology za kibongo.
Post a Comment