
Wanamuziki wa Bendi ya Extra Bongo wakiwa mazoezini wakiweka mambo sawa ya kuhakikisha wanawapa wapenzi wao kile kiachotakiwa,kutoka kushoto ni Bob Kisa, Kaba Tano,Redo na Athanas Motanabe wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wao wa nyumbani Meeda Sinza Jijini Dar es Salaam

Wakifanya mazoezi

Wakifanya mazoezi

Wakiwa mazoezini

Kiongozi wa wacheza shoo wa kike,Otilia Boniphace (katikati) akiwafundisha wacheza shoo wapya wa Bendi ya Extra Bongo

Waimbaji na wacheza shoo wa Extra Bongo wakifanya mazoezi ya kucheza

Wakicheza

Wakicheza

Hapo sasa......

Mh,Bob Kisasa kulia

Ahaaaa...
0 maoni:
Post a Comment