
Wcheza shoo wa Bandi ya Extra Bongo wakiwa katika pozi baada ya kufanya kazi nzito yakuzikonga nyoyo za watu waliojitokeza kwenye Shoo ya Mashujaa Bandi ambapo Bendi ya Extra Bongo ilialikwa katika Ukumbi wa Business Victoria jijini Dar es Salaam

Wakicheza

Wakicheza sambamba na mpiga bass ,Hoseah Mgoati

Wakicheza

Wakicheza

Aisha na Otilia wakiwa katika pozi baada ya kazinzito

Pozi la pekee

Dogo asueli nae alialikwa kwenye shoo hiyo akifanyamambo

Wakiwa katika picha pozi

Vifaa vipya Extra Bongo
0 maoni:
Post a Comment