Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Sunday, February 5, 2012

EXTRA BONGO KUELEKEZA NGUVU KWENYE MAANDLIZI YA SIKU KUU YA VALENTINE DAY.



BENDI ya Muziki wa Dansi ya Extra Bongo next Level, Wazee wa kizigo baada ya kuzikonga nyoyo za wapenzi na mashabiki wake kwenye Ukumbi wa nyumbani sasa watakuwa kwenye mapumziko ya ya siku mbili yaani jumapili na jumatatu na Jumanne wataingia kambini kwa mazoezi makali kuandaa shoo za wiki na za Siku kuu ya wapendanayo yaani Valentine Day.

Akizungumza na wapenzi na mashabiki Mkurugenzi wa Bendi, Ally Chocky amesema kuwa wamekuwa kwenye hekaheka za utambulisho wa Bia ya Serengeti katika wiki nzima ambayo sasa iki kwenye muon ekano mpya sasa watakuwa kwenye mapunziko mafufi

Aidha Mkurugenzi alisema shoo za wiki ziko vilevile ambapo Alhamis watakuwa Mzalendo Pub, Jumamosi ni kiwanja cha nyumbani Meeda Sinza Dar es Salaam

0 maoni:

Post a Comment