BENDI ya Muziki wa Dansi ya Extra Bongo kuwaburudisha wapendanao na wapenzi wa Bendi hiyo siku ya Wapendandanayo ' Valentine Day' kwenye Ukumbi wa Meeda Sinza jijini Dar es SalaamAkizungumza Mkurugenzi wa Bendi hiyo ,Ally Chocky wakati wa onyesho la Bendi hiyo mwishoni mwa wiki kwenye Ukumbi huo alisema wapendanao watakaoonekana wamependeza watapewa zawadi na Mkurugenzi huyo.


0 maoni:
Post a Comment