Otilia alisema usmati si nyumbani wala si barabarani hata kazini pia unatakiwa na haswa usmati ni mahala popote "Mwanamke mahala popote unatakiwa kuwa smart" alimaliza Otilia.
Otilia hivi karibuni alivishwa pete ya Uchumba na shabiki Nnguli la Bendi ya Extra Bongo ambapo alisema maandalizi ya ndoa yao yanakwenda vizuri na muda si mrefu atawajulisha wapenzi na mashabiki pindi atakapokuwa anaingia rasmi kwenye chama cha waliooana.


0 maoni:
Post a Comment