Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Tuesday, January 21, 2014

LEO NI LEO....CAPITAL ONE CUP-NUSU FAINALI: MANCHESTER UNITED KUPINDUA KICHAPO!! WAYNE ROONEY NDANI!! REFA NI LEE MASON, MSHINDI KUKUTANA NA CITY WEBLEY

Man united v Sunderland - capital one cup
Mtanange huu utakuwa ni mgumu kwa Mabingwa hao wa England ambao wanatakiwa kupindua kipigo cha Bao 2-1 walichopewa na Sunderland ambayo tangu impate Meneja mpya Gus Poyet imejiimarisha kwa kutofungwa katika Mechi 4 na Juzi ilitoka nyuma kwa Bao 2-0 na kupata Sare ya Bao 2-2 na Southampton.Wakuchunga zaidi ni hawa!!!
Kocha wa Sunderland  Poyet Kocha wa Man United David MoyesBalaa leo....Moyes na Gus Poyet kukutana tena...
Mwamuzi wa mtanange huo ni LEE Mason.

VIKOSI VINATARAJIWA KUWA HIVI:
Man United (from): De Gea, Lindegaard, Rafael, Smalling, Evans, Jones, Evra, Fabio, Valencia, Fletcher, Giggs, Cleverley, Carrick, Januzaj, Young, Kagawa, Hernandez, Welbeck.
Sunderland (from): Ustari, Mannone, Pickford, Celustka, Dossena, Alonso, Bardsley, O'Shea, Brown, Diakite, Roberge, Cattermole, Cabral, Gardner, Ki, Giaccherini, Johnson, Larsson, Ba, Karlsson, Mavrias, Colback, Fletcher, Altidore, Borini.


KUMBUKA:
-Katika Nusu Fainali 3 zilizopita, Man United walikuwa nyuma au Sare baada ya Mechi ya Kwanza, kwenye Miaka ya 2006, 2009 na 2010, lakini katika hizo zote walishinda Mechi ya Marudiano na kutinga Fainali na kutwaa Kombe!

MSIMAMO WA LIGI KUU ENGLAND 2013/2014 ULIVYO KWA SASA

Vinara Arsenal bado wapo kileleni wakiongoza kwa pointi, nafasi ya pili ni Man City, Tatu Chelsea, na ya Nne ni Liverpool.

Pos.Logo &TeamPWDLGDPts
1ArsenalArsenal2216332451
2Manchester CityManchester City2216243850
3ChelseaChelsea2215432349
4LiverpoolLiverpool2213452543
5Tottenham HotspurTottenham Hotspur221345343
6EvertonEverton2211921542
7Manchester UnitedManchester United221147937
8Newcastle UnitedNewcastle United221138436
9SouthamptonSouthampton22877431
10Aston VillaAston Villa226610-724
11Hull CityHull City226511-623
12Norwich CityNorwich City226511-1723
13West Bromwich AlbionWest Bromwich Albion224108-522
14Stoke CityStoke City225710-1422
15Swansea CitySwansea City225611-621
16Crystal PalaceCrystal Palace226214-1720
17FulhamFulham226115-2619
18West Ham UnitedWest Ham United224612-1118
19SunderlandSunderland224612-1518
20Cardiff CityCardiff City224612-2118

0 maoni:

Post a Comment