Subscribe:

Ads 468x60px

Pages

Sunday, April 20, 2014

SUA MOROGORO MABINGWA SAFARI POOL HIGHER LEARNING MKOA 2014.


 
Diwani wa Kata ya Mkundi Manispaa ya Morogoro,Emelda Chambo(kulia) akionyesha kitita cha fedha taslimu Shilingi 500,000/= ikiwa ni zawadi chuo cha SUA mara baada ya kuibuka mabingwa katika fainali za Safari Pool Higher Learning Mkoa wa Morogoro zilizofanyika katika Ukumbi wa Nyumbani Park jana.Katikati akijiandaa kupokea ni Nahodha wa timu ya SUA, George Titto na Mjumbe wa kamati ya mashindano Pool Taifa, Nabil Hiza.
 
Hii ni staili ya uchomaji nyama ambayo hufanyika kila mwisho wa juma katika Bar ya Nyumbani Park Mkoani Morogoro.
 
Baadhi ya mashabiki na wachezaji wakifuatilia mchezo wa fainali za mashindano ya Safari Pool Higher Learning Mkoa wa Morogoro.

VYUO VYA ELIMU YA JUU KILIMANJARO WAKABIDHIWA VIFAA VYA MICHEZO YA SAFARI POOL HIGHER LEARNING 2014

Mwakilishi wa TBL Mkoa wa Kilimanjaro Mwamba Stanslaus akimkabidhi jezi
mwenyekiti wa timu ya (Mwenge UDIVERSITY )Salma Suleiman katika mashindano
ya vyuo vikuu vilivyopo katika Mkoa wa Kilimanjaro matanange huo una
fanyika kesho katika ukumbi wa THE E.S PLACE uliopo kiboriloni Manisipaa ya
Moshi.
 
 Mwamba akizungumza na waandishi wa habari. 
 Mwenyekiti wa Timua ya mpaira wa meza toka katika chuo kikuu cha( SMMUCO
COLLEGE ) Issa Abrahaman akipokea jezi toka kwa mwakilishi wa TBL Mwamba Stanslaus.
Mwenyekiti wa Timu ya mpira wa meza (PULL TEBLE) toka katika chuo kikuu
cha(  MUCCOBS ) Dominick Tarimo akipokea jezi toka kwa mwakilishi wa TBL
Mwamba Stanslaus zitakazo tumika kesho katika uzinduzi wa mchezo wa mpira wa meza.
 Mwenyekiti wa Timu ya mpira wa meza (PULL TEBLE) toka katika chuo kikuu
cha( KCMC U COLLEGE ) Dr Nyanza Simba akipokea jezi toka kwa mwakilishi wa
TBL Mwamba Stanslaus zitakazo tumika kesho katika uzinduzi wa mchezo wa
mpira wa meza .
 

0 maoni:

Post a Comment